Burudani

Rekodi ya Rapa Cardi B kwenye Muziki na katika Chart za Billboard Iko hapa

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rapa Cardi B ameweka rekodi ya kuwa msanii wa rap wa Kike wa pili kushika namba 1 kwenye chati za Billboard Hot 100 Bila Colabo katika wimbo wake.

Cardi B ameweka rekodi hii kupitia wimbo wake wa #BodakYellow. Awali rekodi hii ilikuwa ikishikiliwa na rapa Lauryn Hill toka November,14,1998 na wimbo wa “Doo Wop (That Thing),”.

Wasanii wakubwa kama Nicki Minaj, T.I , YG wamempongeza sana.

Minaj aliandika >“Congratulations to a fellow NEW YAWKA on a RECORD BREAKING this is the only thing that matters!!! Enjoy [email protected]

BILLBOARD HOT 100 TOP 10

1. Cardi B – “Bodak Yellow (Money Moves)”

2. Post Malone feat. 21 Savage – “rockstar”

3. Taylor Swift – “Look What You Made Me Do”

4. Logic feat. Alessia Cara & Khalid – “1-800-273-8255”

5. Luis Fonsi & Daddy Yankee feat. Justin Bieber – “Despacito”

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open