Burudani

Kwa mara ya kwanza toka 2014, Cameron Diaz atoa sababu ya kuacha filamu…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mwigizaji mkubwa na anayepliwa zaidi HollyWood Cameron Diaz amefunguka kwa mara ya kwanza kwanini alipotea kwenye tasnia ya filamu toka mwaka 2014.

Cameron Diaz ni miongoni mwa mastaa wakubwa wa kike HollyWood na mara ya mwisho alionekana kwenye filamu ya muziki ya Annie ilikuwa 2014.

Cameron Diaz anasemaKwa miaka 20 nilikuwa barabarani kutoka eneo flani la filamu mpaka eneo flani kwaajili ya filamu nyingine bila kupumzika, ndio maana niliona nichukue muda wa kukaa pembeni, nijitafute tena, ni kitu ambacho ni kigumu sana kufanya” 

Cameron Diaz hajasema kama amerudi rasmi HollyWood kuendeea kufanya filamu.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open