Burudani

Huyu ndio msanii aliyemvalisha PETE Ya uchumba rapa CARDI B.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Katika Habari kubwa kwenye HipHop leo ni kitendo cha msanii wa kundi la MIGOS, OffSet kumvalisha pete ya uchumba mpenzi wake ambaye pia ni Rapa ‘Cardi B’.

Offset amefanya kitendo hicho cha kumshtukiza Cardi B wakiwa kwenye jukwaa la muziki katika show ya Power House mjini Philladephia, USA.

Offset amemvalisha pete ya Almasi Cardi B na Diva huyu wa Rap hakusita kusema NDIO Nimekubali na kwa sasa Offset na Cardi B na mtu na mchumba wake.

JOTI Mchekeshaji mkongwe Tanzania amefunga NDOA

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open