Burudani

Rapa Cardi kafunguka kuhusu kuvalishwa pete ya uchumba na rapa OffSet wa Migos

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rapa Cardi B kafunguka kuhusu kuvalishwa pete ya uchumba na rapa OffSet wa Migos kwenye tuzo za video za MTV baada ya kufanya show na kuimba wimbo wake wa “Bodak Yellow,”.

Cardi B anasema “Sina pete kwenye kidole changu ila kila mwanamke anafikiria na anapenda kuolewa, pia kupata watoto, kama OffSet yupo tayari basi aniowe”

Pia Cardi aliongezea kuwa hapendi kumpa mwanaume wake presha ya kutaka kuolewa, hakuna presha kabisa Baby, alisema

Man Water Amchana Diamond Platnumz kuhusu kushindana na AliKiba

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open