Burudani

Producer wa Cardi B aomba radhi kwa kuvujisha taarifa za colabo na Beyonce

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Producer wa rapa Cardi B ‘AshByMix’ ameomba radhi kwa Timu ya Beyonce kwa kuvujisha taarifa za colabo ya Cardi B na Beyonce ‘WET’.

Producer huyu anasema Mtandao wa HotNewHipHop imeingilia maisha yake binafsi kwa kuchukua kila post yake na kuiweka kwenye habari

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open