Burudani

Ushahidi, Bila hata album mmoja, Cardi B apata colabo na Beyonce

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya Mixtape tatu na hit kubwa ‘Bodak Yellow’ sasa Cardi B amebarikiwa kupata colabo na Beyonce.

Mtayarishaji wa muziki AshybMix amethibitisha kuwepo kwa kazi hio, kwenye picha hii inaonekana demo ya Cardi B Ft Beyonce na wimbo umepewa jina ‘WET’.

Ikiwa single yake Bodak Yellow imewahi kukaa nafasi ya kwanza zaidi ya wiki moja kwenye chati za billboard hot 100, Cardi B anastahili colabo na Queen Bey ?

Cardi alikutana na Beyoncé na JAY-Z kwenye tamasha la muziki la Made in America Festival September mwaka huu, alipga nao picha na kuthibitisha kuwa haikuwa FEKI, Photoshopped!”

Colabo hii labda itasikika kwenye album mpya ya Cardi B iliyotakiwa kutoka mwezi huu ila imepelekwa mbele.

 

Izzo Bizness Azungumzia Shavu La Coke Studio Africa, Awasifia WCB Kwa Kunyaka Colabo Na Rick Ross

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open