Burudani

KESI,Anayeonekana kwenda chumvini kwa Cardi B kwenye cover la Mixtape yake adai dola milioni 5

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mwanaume anayeonekana kwenda Chumvini kwa Cardi B kwenye cover la Mixtape yake amesema hakupiga picha hizo na hakutoa ruhusa kwa picha zake kutumika hivyo.

Cover la mixtape ya Cardi B “Gangsta B***h Music Vol. 1” linaloonyesha kijana mwenye tattoo nyingi bila nguo akimfanyia Cardi B ‘Oral sex’ CHUMVINI limezua KESI Kubwa baada ya kugundulika Kijana huyo hakuruhusu picha hio itumike.

Kevin Brophy anasea picha hio ni yeye kwa asilimia 100, na alijua picha hio imetumika baada ya rafiki yake kumuuliza kama anatoka na Cardi B.

Inasemekana mtotowa Brophy alimuuliza ‘BABA hapa ulikuwa unafanya nini? , Brophy anasema hajawahi kuongea na Cardi B wala watu wake, alichora tattoo hio miaka 10 iliyopita, anataka fidia ya dola milioni 5.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open