Burudani

Cardi B ajipanga kushindana na Nicki Minaj, Kutoa album kabla yake

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Aslay Awajibu Wanaomlinganisha na Alikiba na Diamond! Amkana MX Carter kuwa Meneja wake!

#STORI

Rapa Cardi B ametangaza tarehe ya kutoka kwa album yake mpya, itakuwa April mwaka huu Kabla ya kutoka kwa album ya Nicki Minaj.

Hii ni baada ya kuwa na ushindani mkubwa kati ya wasanii hawa wawili uliopelekea Nicki Minaj kupotea kabisa kwenye mitandao ya kijamii na kurudi studio kurekodi album mpya.

Cardi B amesema album yake mpya inatoka April mwaka huu wakati anapokea tuzo ya Best New Artist katika tuzo za iHeartRadio Music Awards mjini Los Angeles.

Cardi B alisema “My album will be coming in April, okurr!, Yes, sir, April. Stay tuned, motherfu**ers.”>Album yangu inatoka April, Ndio April, kaeni tayari,

Mpaka sasa album mpya ya Cardi B haina  JINA ila ina rekodi kubwa kama “Bodak Yellow (Money Moves)” na “Bartier Cardi,”

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open