Burudani

Wimbo wa Cardi B ‘Bodak Yellow’ wafika kiwango cha mauzi cha Gold,

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Wimbo wa rapa wa Kike kutoka New York, Cardi B ulioko kwenye nafasi ya tatu katika chati za Billboard Hot 100 umefanikiwa kuuza kopi laki tano na kupata cheti cha Gold kwa mauzo hayo.

Cardi B anasema mpaka sasa hajaamini mafanikio ya rekodi hio na anavyopanga kwenye billboard.

Cardi B alianza kupata umaarufu baada ya kutoa mixtapes akiwa anafanya kazi kama Stripper kwenye club za watu maarufu nchini Marekani.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open