Burudani

Maneno ya msanii wa muziki wa Injili Christina Shusho kuhusu wimbo wa AliKiba

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Watu maarufu kwenye siasa na muziki wanazidi kusifia wimbo wa Ali Kiba ‘Seduce Me’ , This Time ni msanii wa muziki wa Injili Christina Shusho ambaye yeye ameandika ujumbe huu kuhusu rekodi ya AliKiba

Leo unaeza kuta mtu kaitwa kanisani aongoze wimbo wa sifa halafu akalianzisha seduce me….eeh jamani Kiba we noma. – Wimbo ni mzuri sana Professionally in boss ruge ‘s voice,Hauna picha za aibu , naeza watch na familia, though sijui maana ya SEDUCE ME

Alimalizia kwa kusema > Team Kigoma  #wamanyema  oyeeeee  LAST  @OFFICIALALIKIBA  BASI SIKU NYINGINE TUTEMBELEE KANISANI. UKIWA MFALME HUCHAGUI DINI WOTE WAKO.”

 

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open