Burudani

Chris Brown azidi kusafisha rekodi yake ya muziki

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Chris Brown amefanikiwa kupata mauzo mazuri katika album yake mpya Heartbreak on a Full Moon baada ya Cd hii kutangazwa kuuzwa kopi laki 5 kwa mujibu wa Recording Industry Association of America.

Album ina nyimbo 45 ikiwa na wasanii kama Future, R. Kelly, na Jhené Aiko, ilishika number Moja kwenye chati za Billboard Hot 200 siku chache baada ya kutoka na sasa iko number 3.

Kutokana na uchache wa album za rnb na mauzo madogo ya album za Rnb mwaka huu, haya yamekuwa miongoni mwa mauzo makubwa kwa album za rnb,

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open