Burudani

Mtoto wa Chris Brown atambulisha bidha zake za nguona vipodozi….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mtoto wa kwanza wa Chris Brown,Royalty mwenye umri wa miaka 3 anafata nyayo za Baba yake, Leo kupitia wazazi wake mtoto huyu maarufu ametambulisha bidha zake za nguo na vipodozi kwaajili ya watoto wa jinsia zote

Nguo hizo zitakuwa na muonekano wa rangi tofauti, magauni na vipodozi kwaajili ya watoto wanaopenda kutoka na kupendeza, mama wa Royalty, Nia Guzman anasaidia pia.

Mama Royalty ametangaza Aug. 6 bidha hizo zitapatikana kwenye tovuti ya RoyaltyBrown.Com.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open