Michezo

Picha,Man City imekamilisha usajili wa Beki wa kulia Danilo kutoka Real Madrid..

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Klabu ya Man City imekamilisha usajili wa Beki wa kulia Danilo ‘Danilo Luiz da Silva’ kutoka Real Madrid kwa ada ya uhamisho ya pound milioni 27, Danilo amesaini mkataba wa miaka mitano.

Danilo anasema alitamani kwa muda mrefu kufanya kazi chini ya Pep Guardiola. Danilo ambaye ameshatua Etihad Stadium atajiunga nawachezaji wenzake nchini Marekani.

Exclusive,Timbulo kataja sababu ya kushindwa kuwatongoza wasanii wa kike wa Bongo Fleva

#SammisagoNEWS

 

Weka Comments Hapa

Open