Burudani

Ni ndoto ya kila msanii kupata dili kama hili alilopata Ciara….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya album yake ya mwisho kufanya vibaya sokoni, staa wa Rnb Ciara amejiunga na lebo mpya, Warner Bros Records.

Lebo hii ni miongoni mwa lebo zenye pesa na uwezo mkubwa wa kumtangaza na kumtajirisha msanii nje na ndani ya Marekani na sasa patakuwa nyumbani kwa mziki mpya wa Ciara.

Ciara amefurahia dili hili na kutangaza rasmi ujio wa muziki mpya kwa dunia nzima…

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open