Burudani

Antonio Conte; Lazima tusajili wachezaji wengine ili kushinda Premier League

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kocha wa klabu ya Chelsea Antonio Conte amesema ili Kushinda Premier League tena nakutetea ubingwa wao ni lazima klabu hio isajili wachezaji wengine, Kuna timu 6 zenye nguvu sana,Itakuwa ngumu kushinda msimu huu.

Chelsea walisajili vichwa vikubwa vitatu kiungo kutoka Monaco, Tiemoue Bakayoko, mshambuliaji kutoka Real Madrid, Alvaro Morata na beki kutoka Roma, Antonio Rudiger.

Chelsea wanaitamani saini ya Virgil van Dijk wa Southampton, Joao Cancelo wa Valencia, Alex Oxlade-Chamberlain wa Arsenal na Danny Drinkwater wa Leicester.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open