Michezo

Ipo siku Conor McGregor atarudi kwenye ulingo wa ngumi asema kocha wake John Kavanagh

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kocha wa Conor McGregor, John Kavanagh amesema ipo siku mpiganaji wake atarudi kwenye ulingo wa mchezo wa ngumi ila sio mwaka huu.

McGregor na kocha wake wako kwenye mapumziko baada ya pambano la Floyd Mayweather huku mashabiki wakitamani kumuona Conor kwenye ulingo wa UFC na mpiganaji Nate Diaz.

Conor McGregor is currently taking a break after his debut boxing bout with Floyd Mayweather

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open