Michezo

Picha 15, Bei na Alivyovaa Cristiano Ronaldo wakati anatambulisha Perfume yake mpya.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo ametambulisha rasmi Perfume yake iliyopewa jina CR7 Eau de Toilette, ikiwa ni perfume ya tatu kwenye ollection yake, Ronaldo ana Cristiano Ronaldo Legacy na Cristiano Ronaldo Legacy Private Edition.

Manukato haya ya CR7 Yatauzwa kwa bei ya reja reja kwa kiasi cha Pound £19 [TZ Sh 56219] na kwenye box inakuja na Aftershaves, Shower Gels Na Deodorants.

Hivi karibuni Ronaldo alikuwa kwenye vichwa vya habari baada ya kupata mapacha Eva na Mateo June mwaka huu.

  

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open