Habari

Cristiano Ronaldo apendekeza majina matatu ya makipa anaotaka wasajiliwe Real Madrid

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Cristiano Ronaldo ameishauri klabu yake ya Real Madrid kusajili goalkeeper mpya ili kuendelea kuwa na mafanikio katika La Liga.

Cristiano Ronaldo amemtajia majina matatu rais wa Madrid Florentino Perez , akiwemo kipa wa Man United David De Gea, mlinda mlango wa Chelsea Thibaut Courtois na Marc Andre ter Stegen wa Barcelona.

Ronaldo hana imani tena na makipa Keylor Navas na Kiko Casilla kuendelea kubaki Santiago Bernabeu na anataka kuona kipa mpya msimu ujao

Marc Andre ter Stegen

David De Gea

Thibaut Courtois


Producer Dee Classic Alivyowatofautisha Young Dee Na Young Killer

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open