Michezo

Picha, Cristiano Ronaldo amepata mtoto wa nne, Alana Martina

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo ameongeza mtoto wa 4 katika familia yake. Wiki chache zilizopita alitangaza kuwa mtoto huyu ataitwa Alana Martina.

Hii ni picha ya Ronald na mchumba wake Georgina Rodriguez ambaye amejifungua salama mtoto wao wa kike.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open