Michezo

RASMI, Cristiano Ronaldo ametangaza jina la mtoto wake wa Nne

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Staa wa soka duniani Cristiano Ronaldo ametumia Insta LIVE kutufahamisha kuwa mtoto wake wa NNE na Wakike anayetarajia kumpata na mpenzi wake Georgina Rodriguez ataitwa Alana Martina.

Cristiano Ronaldo anasema “Mimi nimechagua jina la kwanza na mpenzi wake Georgina amechagua la pili, jina la mtoto wangu wa kike litakuwa Alana Martina, Matumaini yangu ni jina zuri”.

TMZ Imeripoti kuwa ni takribani siku 23 sasa zimebaki mpaka mtoto huyu kuja duniani

Ronaldo ana watoto watatu tayari, Cristiano Ronaldo Junior na mapacha Eva Martia na Mateo
Ushahidi, Omarion kutoka Marekani amefanya colabo na Diamond Platnumz, Video je….

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open