Burudani

Picha,Ice Cube apata NYOTA yake kwenye Hollywood Walk of Fame.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Leo June 13 2017 imekuwa siku njema kwa msanii mkongwe wa hiphop na mwigizaji mkubwa Marekani Ice Cube kupewa nyota yake katika HollyWood Walk Of Fame,

Heshima hii imekuja siku chache kabla hajafikisha miaka 48, Ice alikuwa kwenye eneo la tukio na producer mkongwe Dr Dre na wasanii kama WC, MC Ren, DJ Yella, Sir Jinx, Yo-Yo, Lench Mob, DJ Pooh, na John Singleton.

Nadra sana wasanii wa rap kupata heshima hii, msanii wa rap wa kwanza kuwa na HollyWood Walk Of Fame alikuwa Queen Latifah na alipewa nyota yake January 2006.

Rapa wengine ni pamoja na P Diddy, PitBull na LL Cool J

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open