Burudani

Alichosema Dogo Janja kuhusu,NDOA, Irene kubadili Dini, KIKI viko hapa

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Haya mambo sita aliyesema Dogo Janja kuhusu ndoa yake na Irene Uwoya, Ni Kweli wamefunga NDOA Na Sio KIKI Kama ilivyoaminika mapema kama alivyothibitisha leo kwenye kipindi cha Leo Tena #CloudsFm

Dogo Janja kuhusu kabla ya ndoa>>Mwenyezi Mungu yuko mbele ya kila kitu changu ata wakati niko na Irene nilikuwa nasali Mwenyezi Mungu anipe mke bora.

Dogo Janja kuhusu kitu alichokiona kwa Irene>Nilichokiona kwa Irene Uwoya, anafaa kuwa Mama wa familia yangu, ni mwanamke ambaye nje ya ustaa wake anafaa kuwa Mama wa nyumbani kabisa

Dogo Janja kuhusu ushawishi kwa jamii>Mimi kumuowa Irene nimeishawishi jamii na vijana nao sasa wamekuwa sio waoga.

Dogo Janja kuhusu Irene Uwoya kubadili dini>Irene alibadili dini wiki tatu kabla ya kufunga ndoa

Dogo Janja kuhusu ndoa kuwa KIKI>Watu hawaamini hili tukio kuwa nimewezaje, mwisho wa siku watu watasema vitu vingi ila mimi ndiye niliyeoa na ndiye Mume

Dogo Janja kuhusu Posa >Mtu aliyepeleka posa ni Mzee Ally baba yake Madee na Sheikh aliyefungisha Ndoa ni Chande Omary Chande

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open