Burudani

Davido amekuwa msanii mwenye Followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram Nchini Nigeria.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Music Staa kutoka Nigeria David Adeleke Aka ‘Davido’ amekuwa msanii mwenye Followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram Nchini Nigeria.

Davido mwenye Hits kama ‘If’ na  ‘Fall’ amekamilisha Followers Milioni 5 wiki hii.

Wasanii wengine maarufu wenye Followers wengi kwenye Instagram ni pamoja na Wizkid ‘Milioni 4’Boss wa Marvins Record Don Jazzy ‘Milioni 3’ ,Genevieve Nnaji  ana milioni 3.1 na Peter wa P Square Na Peter Okoye wana Followers Milioni 3.

Hivi karibuni Bongo Fleva Super Staa Diamond Platnumz ametimiza Followers Milioni 4 kwenye IG Yake.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open