Burudani

Angelina Jolie, Sipendi kuwa SINGLE Girl….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Waigizaji maarufu waliotengana hivi karibuni Brad Pitt na Angelina Jolie wamesema hawana raha kuwa SINGLE.

Angelina Jolie ameongea na jarida la GQ nakusema “Sina raha nikiwa SINGLE, Sio kitu nilichotaka, hakuna kitu kizuri kuhusu kuwa SINGLE, ni ngumu sana”

Angelina Jolie,42, amewahi kuolewa mara tatu, ndoa yake iliyodumu zaidi ni ya tatu akiwa na Brad Pitt iliyodumu kwa muda wa miaka 11,  Mwaka 1996 Akiwa na miaka 21 aliolewa na muigizaji Jonny Lee Miller, Baada ya mahusiano ya miezi miwili Jolie alifunga ndoa na mwigizaji Billy Bob Thornton mnamo May 5, 2000 mjini Las Vegas, 

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open