Burudani

Davido na Cristiano Ronaldo ni washkaji, Ipo siku CR7 ataonekana kwenye video ya OBO.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Staa wa Pop kutoka Nigeria Davido anampango wa kuishangaza dunia kwa kumuweka mwanamichezo anayelipwa pesa nyingi zaidi duniani Cristiano Ronaldo kwenye video ya muziki wake.

Fahamu kuwa Cristiano Ronaldo ana -Follow account ya David Adeleke Aka Davido kwenye Instagram na kuna tetesi za mastaa hawa kufanya kazi pamoja.

Davido aliongea na Goal.com kuwa anamkubali sana Cristiano Ronaldo na ana mpango wa kufanya naye video, mpango huu lazima uwekwe makini sana sababu ya shughuli nyingi walizonazo mastaa hawa.

Davido alithibitisha kuwa hajawahi kukutana na Ronaldo,

Alichojibu Nedy Music kuhusu tetesi za kutoka Kimapenzi na Msanii Ruby

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open