Burudani

Mkali wa ngoma za club duniani David Guetta amewataja wasanii wawili aliowasajili kwaajili ya ujio wake mpya…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Ili kuvunja ukimya wake toka mwaka 2014, Dj maarufu na mtayarisha wa nyimbo zinazochezwa zaidi kwenye sehemu za starehe ‘David Guetta‘ amefunguka kuhusu ujio wake mpya na kusema amewasajili tayari wasanii wawili watakao mrudisha kwa colabo kali.

David Guetta amesema wasanii Nicki Minaj na Lil Wayne wataanza kwenye ngoma zake mpya za mwaka huu.

Hii itakuwa mara ya nne Nicki na David wanafanya kazi pamoja baada ya kutoka nyimbo kama “Turn Me On,” “Where Them Girls At,” na “Hey Mama”.

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open