Burudani

Davido akanusha kusajiliwa na D’Banj..

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Msanii kutoka Nigeria D’banj hivi karibuni alisema kwenye interview Uingereza kuwa alimsajili Davido mwaka 2014 na kumpa saa ya thamani kubwa aina ya Rolex.

Baada ya kauli hio ya D’Banj, Davido aliingia Instagram na kujibu tetesi hizo.

Davido alijibu kwa kumtaja D’Banj nakusema D BANJ GAVE ME MY FIRST ROLEX THO .. BUT I NEVER SIGNED ANYTHING .. BLESSINGS TO HIM! Paved the way for sure !❤️’ Akimaanisha Ni kweli D’Banj alinipa saa yangu ya kwanza ya Rolex ila siku saini kitu,Asante kwa kunifungulia njia

D’banj yupo kwenye tour akitangaza album yake mpya ya ‘King Don Come’

#SammisagoNEWS

 

Weka Comments Hapa

Open