Burudani

Demetrius Shipp Jr atoa kauli ya mwisho kuhusu kuigiza kama 2 Pac kwenye filamu zingine…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mwigizaji Demetrius Shipp Jr aliyeigiza kama Tupac Shakur kwenye filamu ya All Eyes On Me amesema hata igiza tena kama rapa huyo kwenye filamu zingine.

Demetrius Shipp Jr anasema amefurahishwa na mapokezi ya filamu ya All Eyez On me mjini Hollywood ila hata fanya tena filamu kama 2 Pac.

Hii ni tofauti kidogo na alichofanya mwenzake Jamal Woolard aliyeigiza filamu tatu kama Notorious B.I.G..

Demetrius anasema kuigiza kama 2 Pac ni mwanzo tu,

              Jamal Woolard

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open