Burudani

Wimbo wa Despacito wafikia rekodi kubwa ya Mariah Carey kwenye chati za Billboard Hot 100.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Wimbo mkubwa wa msanii Luis Fonsi & Daddy Yankee Ft Justin Bieber ‘Despacito’ Umeweka historia wiki hii baada ya kufikia Rekodi ya msanii Mariah Carey aliyoiweka miaka 21 iliyopita kwenye chati za billboard,

Mariah Carey na Boyz II Men kupitia wimbo wa “One Sweet Day” walikaa kwenye nafasi ya kwanza kwa wiki 16 mfululizo kitu ambacho amefanya msanii Luis Fonsi, Daddy Yankee, na Justin Bieber kwenye chati za Billboard Hot 100.

BILLBOARD HOT 100 TOP 10

1. Luis Fonsi & Daddy Yankee feat. Justin Bieber – “Despacito”
2. DJ Khaled feat. Rihanna & Bryson Tiller – “Wild Thoughts”
3. Cardi B – “Bodak Yellow”
4. Imagine Dragons – “Believer”
5. Charlie Puth – “Attention”
6. French Monta feat. Swae Lee – “Unforgettable”
7. Shawn Mendes – “There’s Nothing Holdin’ Me Back”
8. Bruno Mars – “That’s What I Like”
9. Ed Sheeran – “Shape of You”
10. Yo Gotti & Mike WiLL Made-It feat. Nicki Minaj – “Rake It Up”

Man Water Amchana Diamond Platnumz kuhusu kushindana na AliKiba

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open