Burudani

Picha,Diamond Platnumz na Patoranking,Ujumbe wake kwa Zari The Boss Lady….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kupitia IG yake Diamond Platnumz alitegemewa kuweka Picha ya Hamisa Mobeto baada ya staa huyu kujifungua mtoto wa kiume ambaye anatajwa kuwa ni wa SIMBA.

August 9 2017 Diamond aliandika ujumbe huu kwaajili ya Zari >Happy South African Women Day Baby…. Thanks for Changing my life… I can’t wait for our Big History Day… @zarithebosslady

Je Ndoa Inanukia ?

Diamond Platnumz kwa sasa yupo Uingereza na amekutana na Patoranking kutoka Nigeria.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open