Burudani

Video ya Diamond Platnumz inaelekea kutimiza VIEWS milioni 6 ndani ya siku 30

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Video ya Diamond Platnumz Ft Morgan Heritage – Hallelujah iliyowekwa kwenye Youtube Sep 28, 2017 Inaelekea kukamilisha VIEWS milioni 6 ndani ya Mwezi Mmoja ‘Siku 30’ kama itakamilisha namba hio kabla ya October 28 2017.

Hallelujah imekuwa miongoni mwa single za Diamond Platnumz zenye mafanikio zaidi kwenye mataifa mengi duniani kutokana na mchanganyiko wa Lugha, mabadiliko yake ya Uimbaji humo na Kuwa na jina kubwa la Morgan Heritage

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open