Burudani

Birthday ya Diamond Platnumz, Wema Sepetu kampost nakuandika….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Wema Sepetu na Diamond Platnumz bado ni marafiki wazuri na mashabiki wao wanalipenda hili.

Ikiwa leo ni siku ya kuzaliwa ya bongo fleva super staa Diamond Platnumz, Ex wake ambaye ni CEO wa kampuni ya Endless Fame  na Miss Tanzania 2006 amemtakia kila la kheri SIMBA Kwenye Birthday yake.

Kupitia Instagram yake Wema Sepetu aliandika >Happy Birthday Chibu na kumtag @diamondplatnumz

Ofcourse comments za post hii zinasifia sana ukaribu wao huku watu wakidai labda pado kuna mapenzi moto moto kati yao ila ndio hivyo tena SHETANI wa alimpeleka Chibu kwa Hamisa….

Happy Birthday Diamond Platnumz.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open