Burudani

Haya maneno ya Diamond Platnumz baada ya kusikia hukumu ya Elizabeth Michael ‘Lulu’

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Haya maneno ya Diamond Platnumz baada ya kusikia hukumu ya Mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ ya kifungo cha Miaka Miwili Jela baada ya kukutwa na hatia kwenye kesi ya kumuua bila kukusudia Mwigizaji Steven Kanumba.

Diamond Platnumz ameandika>>“Mwenyez Mungu ameamua kukupa mtihani huu wewe kwasababu anaamini wewe ni Shujaa na Imara…..pia anaamini wewe ndio msichana pekee unaeweza kuuhimili mtihani huu…. hivyo Usisononeke, Make him Proud!!!🙏”

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open