Burudani

Mauzo makubwa ya Diamond Platnumz chini ya Universal Music Group

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Diamond Platnumz amekuwa msanii wa kwanza Africa aliyechini ya Universal Music Group kuwa na MAUZO Ya KOPI Milioni 6 ‘6x Platinum’. Mauzo haya ni kutoka kwenye wimbo wake wa Marry You Ft Neyo.

Diamond Platnumz ameshukuru Timu yake na vyombo vya habari vinavyompa ushirikiano

JOTI Mchekeshaji mkongwe Tanzania amefunga NDOA

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open