Burudani

Diamond Platnumz ajiunga na mastaa wengine kama balozi wa hii bidha….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya Post ya Rick Ross,Diamond Platnumz nae aliweka picha akijinadi na Kinywaji cha Belaire kama balozi mpya na kujiunga na watu maarufu na wakubwa kama Rick Ross, Dj Khaled, D-Black wa Ghana, Huddah The Boss Chick wa Kenya, DJ Steve Aoki na Quavo wa Migos.

Picha hii ilikuwa na Ujumbe Weekend Vibe! @officialBelaire #BBB #Biggest

#SelfMade tastes better @diamondplatnumz x #belaire #bbb

A post shared by Luc Belaire (@officialbelaire) on


#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open