Burudani

Picha,Diamond Platnumz atangaza ujio wa album yake mpya

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya kutoa album mbili zenye mafanikio makubwa, sasa Diamond Platnumz atangaza ujio wa album yake mpya na ya tatu.

Kupitia Instagram yake Diamond Platnumz aliandika >> ALBUM SOON COME…  #ABoyFromTandale  🔥🎶🔥

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open