Burudani

Video ya Diamond Platnumz Ft Morgan Heritage ‘Hallelujah’ yatimiza watazamaji Milioni 2

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baadaya kuweka rekodi ya kupata watazamaji Milioni 1 ndani ya Masaa 15, Video ya Diamond Platnumz Ft Morgan Heritage ‘Hallelujah’ yatimiza watazamaji Milioni 2 ndani ya Siku mbili tu katika Mtandao wa Youtube.

Video hii pia imekuwa Trending Namba Moja toka Imeachiwa Rasmi na Diamond Platnumz,

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open