Burudani

Mtanzania Diamond Platnumz kwenye Instagram ya Rick Ross,

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

 

Rapa Rick Ross amepost kwneye Instagram yake picha ya msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz akiwa na kinywaji cha Belaire kama alivyofanya hivi karibuni na mwanadada maarufu kutoka Kenya Huddah The Boss Chick.

Ujumbe kwenye Picha ya Diamond katika Instagram ya Rick Ross ulisema ‘ #SelfMade tastes better @DiamondPlatnumz x @OfficialBelaire#BBB #biggest’

#SelfMade tastes better @DiamondPlatnumz x @OfficialBelaire #BBB #biggest

A post shared by The Boss Rick Ross,Yung Renzel (@richforever) on


#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open