Burudani

Video, Diamond Platnumz anafanya video na Rick Ross Miami nchini Marekani

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kwa mujibu wa post ya International Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam anasema Msanii wake Diamond Platnumz alikuwa kwenye hii location mjini Miami akifanya video na rapa Rick Ross ambao wote ni mabalozi wa kinywaji cha Belaire ndio maana wanajiita #BlackBottleBoys 

Sallam ameandika Ig >Diamond Platnumz x Rick Ross On set now somewhere in Miami #BlackBottleBoys and we never stop!!

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open