Burudani

Alichosema Diamond Platnumz kuhusu nyota yake na jinsi inavyowagusa watu

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz amezungumzia nguvu ya NYOTA yake na jinsi watu flani wakubwa wanavyochoshwa nayo.

Kupitia IG yake Diamond ametoa gongo Hili Ka diamondi kenyewe basi, kadogodogooo tokea Tandale… sema kanavyo washuhurisha watu na Midevu yao😃😃… Hii nyota yangu sjui itakuwa jina lake linaitwaje…..😃 #ZILIPENDWA

Kwa sasa Diamond na kundi lake la Wasafi wana HIT na rekodi yao mpya Zilipendwa amabyo InTrend Nchini Kenya ikiwa imetazamwa na watu zaidi ya Milioni 1 na laki mbili.

Man Water Amchana Diamond Platnumz kuhusu kushindana na AliKiba

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open