Burudani

Maneno ya Diamond Platnumz kwa Mh Tundu Lissu….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya Mbunge wa Singida Mashariki ambaye pia ni Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, Tundu Lissu kupigwa risasi na watu wasiojulikana mchana wa leo Dodoma, wasanii mbalimbali wamekuwa wakielezea masikitisho yao juu ya tukio hili.

Bongo Fleva Super Star Diamond Platnumz aliweka Ujumbe huu Mfupi Instagram

Diamond Platnumz>InshaAllah Mwenyez Mungu Akusmamie na kukurudishia Afya njema…🙏

#SammisagoNEWS

 

 

Weka Comments Hapa

Open