Burudani

Video,Diamond Platnumz na Zari Wake kwenye Birthday, Zari anaimbiwa ENEKA….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Hii video fupi ya Diamond Platnumz na Zari The Boss Lady kwenye Birthday yake, Zari anaimbiwa ENEKA, Mi Nakupendaga….Imekuwa mara ya Kwanza Diamond kuw akaribu na Zari baada ya Drama za Baby Mama wake Hamisa kuwekwa wazi.

#SammisagoNEWS #StoriBy Melisa

Weka Comments Hapa

Open