Burudani

Picha ya Inayoaminika ni Diamond Platnumz na Hamisa kitandani yasambaa mtandaoni,Jina jipya la mtoto wa Hamisa….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Miongoni mwa stori kubwa katika burudani na udaku Tz ni Picha inayoaminika ni Diamond Platnumz na Hamisa Mobetto wakiwa kitandani imesambaa mtandaoni saa chache baada ya kuisha kwa 40 ya mtoto wa kiume wa Hamisa anayetajwa kuwa ni mtoto wa Diamond.

Ikiwa ilitegemewa Hamisa atamuonyesha mtoto wake 17 September 2017, staa huyu hajafanya hivyo pakiwa na tetesi kuwa Diamond amekataa jambo hilo kufanyika mpaka aweke mambo sawa,

JE Ni Mambo Gani Hayo ?

Jambo lingine ambalo limekuwa gumzo mtandaoni nikubadilika kwa jina la mtoto huyu , Tetesi zinasema Prince Abdul Naseeb kwa sasa anaitwa Prince Abdul Latif,

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open