Burudani

Post ya Diamond Platnumz muda mfupi baada ya kutoka kwa Video ya Wimbo Mpya wa Ali Kiba #SeduceMe

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Ikiwa ni siku chache toka Diamond na Ali Kiba wamebadilishana maneno makali Twitter na kwenye wimbo wa Fresh Remix, Ali Kiba ametoa video mpya #SeduceMe leo 8/25/2017 na tayari kuna Drama kwenye instagram ya Diamond Platnumz.

Hii ni Post ya Diamond Platnumz muda mfupi baada ya kutoka kwa Video ya Wimbo Mpya wa Ali Kiba #SeduceMe 

HII NDIO VIDEO MPYA YA ALI KIBA #SEDUCEME

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open