Burudani

Maneno ya Diamond Platnumz kwa Harmonize kuhusu HATERS…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Diamond Platnumz ameweka Post 2 zikiwa ni kile alichomwambia msanii wake wa WCB Wasafi Harmonize kuhusu HATERS Na Maneno ya watu mtandaoni.

Hrmonize amekuwa miongoni mwa watu wanaofuatiliwa zaidi kwa sasa baada ya kutengana na J Wolper, kuanzisha mahusiano na Mzungu ‘Sarah’ na kutoa rekodi yake mpya #Sina iliyong’arihwa na msanii mkongwe Mr Nice.

Me telling @harmonize_tz “Fuck all the haters!” , we are famous, Powerful & Rich!…[email protected]_wasafi for life!!! please tag my all @wcb_wasafi family…..👇 📸 @kifesi

Usiogope Maneno maana Maneno Asili yake Uswazi, na Uswahilini ndipo Tulipozaliwa na kulelewa… Chamuhimu Tuendelee kupambana na tuzidi kuuwashika mkono wenzetu kutoka kwenye mtaa, ili Mabishoo, na Watoto wakishua wazidi kuchukia….! @wcb_wasafi For life!

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open