Burudani

Picha,katika tattoo kubwa za wasanii,hii mpya kwenye mgongo wa P Diddy na maelezo yake…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mfanya biashara maarufu Duniani ambaye hivi karibuni ametajwa kuwa mtu maarufu aliyetengeneza pesa nyingi zaidi mwaka huu kwa mujibu wa Forbes, P Diddy ameongeza tattoo mpya na kubwa kuliko kwenye mgongo wake.

Diddy kaweka tattoo hii ikiwa na ujumbe ‘I got the front And She got my BACK’

Hii picha ya Ezili Dantor inapewa heshima na kufanyiwa ibada mara kwa mara huko Haiti kwenye misingi ya ‘Haitian Vodou’, Huaminika kulinda watoto na wanawake wanaolea watoto peke yao.

Sehemu zingine duniani Ezili Dantor hufahamika kama Black Madonna, Our Lady of Lourdes, Saint Barbara Africana na Our Lady of Mount Carmel.

Video,Amber Lulu amkataa Shilole, atoa kauli ya mwisho kuhusu Mahusiano na Young Dee, je kweli kalala na Prezzo….

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open