Burudani

Kutoka Marvins record,hii video mpya ya Di’Ja ‘Air’ Enjoy..

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Don Jazzy anazidi kuhakikisha lebo yake ya Marvins Records inatawala muziki Nigeria kwa kutoa kazi bora za wasanii kama Tiwa Savage, Korede Bello, Dr Sid na wengine wengi.

Hii video mpya ya msanii wake Di’ja ‘Air’ Itazame hapa….

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open