Burudani

Alichoandika Diva Loveness Love kuhusu #Seduce ya Ali Kiba

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mtangazaji maarufu wa Radio Diva Loveness Love [Clouds Fm] ametmia twitter kuandika ujumbe mfupi kuhusu rekodi mpya ya Ali Kiba #SeduceMe iliyotayarishwa na Producer Man Water.

Diva anasema >>Seduce me ya Alikiba ni Kama Pedi za Kike lazima Uvae , Mziki umeenda shule Huu #seduceme like what da hell

#SammisagoNEWS

 

 

Weka Comments Hapa

Open