Burudani

Huyu ndio mpenzi wa Diva Wa Clouds Fm.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Staa Wa Rnb Herry Music Na Mtangazaji wa Radio Diva Loveness Love wamethibitisha penzi lao Rasmi kupitia post tofauti za instagram zao.

Hizi ni picha mbilo za mastaa hasa wakiwa pamoja eneo moja kwenye pozi tofauti.

#StoriByMellisa.

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open