Burudani

Dj Khaled kamtaja msanii aliyemsaka kwa miaka mingi kufanya nae colabo.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya mauzo ya kopi milioni moja kwenye album yake ya #Graetul DJ Khaled amefunguka colabo anazozitaka kwa sasa.

Colabo hizi ni pamoja na sauti za wasanii André 3000, Dr. Dre, Adele, Bruno Mars, na Eminem ambayo Khaled anasema ni colabo ambayo amekuwa akiitafuta kwa miaka mingi.

Khaled pia amesema colabo ya Eminem Na Adele itakuwa colabo kubwa na kali sana.

Adele

 Eminem

 #SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open